WALIO OMBA KAZI YA UDEREVA KUKUTANA NA UONGOZI

Tangazo, Tangazo, Tangazo. Shirika la Luba Express linapenda kuwatangazia wale wote walio omba kazi, katika nafasi ya Udereva kupitia katika Website yetu kuwa Kuanzia Kesho Tarehe 30/07/2020. Saa Mbili Asubuhi wanatakiwa kufika katika office za Luba Express Makao Makuu, Mjini Rumonge wakiwa na Reseni zao za udereva ili kufanya Usaili (Interview) katika kitengo cha Usafirishaji. Tunapenda pia kuwajulisha kuwa mwisho wa kupokea maombi ya Kuomba kazi kwa njia ya mtandao ni Leo tarehe 29/07/2020. Saa 12 Jioni. kwa kupata fomu ya kuomba kazi tembelea www.lubaexpress.org. Asanteni Sana.


10 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram