Waigizaji wa Luba Comedy Group wakiwa safarini kwenda Location

Ili kuendelea kuboresha Huduma zetu na kutoa ujumbe wa kibiashara kupitia Tathinia ya Uigizaji Luba Express Imekuletea Kikundi cha Uigizaji wa Maigizo ya Vichekesho Maarufu kama "CHEKA MPAKA UVUNJE MBAVU" kikundi hicho kimeanza rasmi kazi ya uigizaji wa video clips hizo ambazo zitakuwa hasa zinalenga Biashara, na zitaanza Kuruka hewani kwenye channel ya youtube ya LUBA EXPRESS ONLINE TV, kuanzia tarehe 01/04/2021. Saa 12 Jioni hivyo ili kuendelea kupata Uhondo wa kikundi hicho unaomba ku Subscribe, Like na Share ili uwe unapata Notification kila tutakapo kuwa tumeweka video mpya Asanteni sana kwa kuichagua Luba Express Kuwa jibu la Maisha yako. Kwa pamoja tunasema WE BELIEVE WHAT WE DO


7 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram