Ukaguzi wa Albam inayotengenezwa Luba Video Shooting
Waimbaji walio shoot katika Production ya Luba Video shooting wakiwa wanakagua kazi yao baada ya kumaliza ku Edit hivyo mda wowote inaweza kutoka na kuingizwa Sokoni, Kwa habari zaidi kuhusu Suala la Luba Video Shooting fatilia Mitandao yetu ya Kijamii au Fika Ofsini kwetu.

16 views0 comments