TUNATHUBUTU NDIO MAANA TUNAWEZA

Katika harakati za kuendeleza vipaji vya vijana wetu, na kuwasaidia wale ambao wana ndoto ya kuwa wasanii wakubwa iwe wa mziki au wa injili, Luba Video Shooting imeendelea kutoa Ofa babu kubwa, ambapo Muimbaji ataweza kutoa nyimbo yake ikiwa kwenye Ubora wa hali ya juu, na hilo litaweza kumfanya muimbaji huyo kuyafikia malengo yake ya kuwa Maarufu katika kipaji chake, ni simple fika ofsini Luba Video Shooting iliyopo Mkoani Rumonge, Kwa Maelezo Zaidi au wasiliana na Uongozi wa Luba Express kwa Kwenda kwenye Contact zilizopo kwenye Website hii, Imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano ndani ya Luba Express, Mhe: IRANKUNDA Elikana

18 views0 comments

Recent Posts

See All