TANGAZO LA MABADILIKO YA RATIBA YA SAFARI ZA BUJA-KIGOMA

Ndugu wateja wetu wa Luba express tunapenda kuwatangazia kuwa safari za kutoka Bujubura-Kigoma ambazo zilizokuwa zimepangwa kufanyika kuanzia tarehe 01/08/2020. Zimesitishwa kulingana na Ratiba ya Selkali kutofungua mipaka kwa tarehe iliyokuwa imependekezwa, Kwahiyo tunawaomba radhi wateja wetu kwa usumbufu utakao jitokeza. tarehe rasmi itatangazwa tena kupitia Accounts zetu. asanteni sana


Ni moja kati ya gari zinazotumika katika kusafirisha abiria na mizigo kutoka Bujumbura nchini Burundi mpaka Kigoma Tanzania


63 views0 comments

Recent Posts

See All