TANGAZO LA KUANZISHA LUBA VIDEO SHOOTING

mkurugenzi wa Mawasiliano wa Luba Express Mhe: IRANKUNDA Elikana akifafanua namna ambavyo mradi wa LUBA VIDEO SHOOTING, utakavyosaidia kuinua kipato kwa vijana na kutengeneza fursa kwa wasanii binafsi na hata kutatua changamoto ambayo walikuwa wanakutana nayo wanaofanya sherehe mbali mbali na hata waimbaji wa nyimbo za njili. Katika mazungumzo yake Amesema kuwa Luba Video Shooting Imeanzishwa kwa dhumuni la Kuwasaidia wale wote ambao wana ndoto ya Kuwa wasanii wa kubwa lakini huwa wanashindwa kumudu gharama za kutengeneza kazi zao, hivyo Shirika hilo litakuwa linatoa ofa mara kwa mara ili Kusaidia vijana kuyaishi maono yao.


16 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram