TANGAZO LA BIASHARA
Tunapenda kuwatangazia wateja wetu na hususani wale ambao ni wamiliki wa vyombo vya Uvuvi kuwa Shirika la Luba Express linauza vifaa vyote vya Uvuvi ikiwemo Kamba, Pamba, Mafuta ya aina zote, Uzi, Mataa, Betri na mengine mengi, na tunaweza kukufikishia mzigo popote ulipo baada ya kufanya order, Ndani na nje ya nchi ya Burundi, Kama Unataka kujua mengi kuhusu Bidhaa hizo Wasiliana nasi kupitia Namba zifuatazo +25769062208. Karibuni Sana

Uzi

Mafuta ya Oil

Kamba

Pamba