TANGAZO LA BIASHARA.

Kampuni ya Luba Express inawafahamisha wale wote ambao wanahitaji kununua Gari aina ya Coaster, kama kuna gari ambalo linauzwa katika Kampuni hiyo, ni gari nzuri ambayo inafaa kwenye matumizi ya usafirishaji wa Abiria na mizigo bila Shida yoyote, kama unataka kuiona au unahitaji mawasiliano au ufafanuzi zaidi Tafadhari wasiliana na Mkurugenzi Mkuu wa Luba Express Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier. Tel: +257 79334669 / 69062208 / 7539927338 views0 comments

Recent Posts

See All