Tangazo kwa wateja wetu wa Luba Express
Ndugu wateja wetu wa Luba Express katika harakati za kuwahudumia kwa Uhakika na Sarama. Shirika la Luba Express limeamua kuwafahamisha haya yafuatayo:
Mtu yeyote atakaye nyanyaswa akiwa katika Gari za Luba Express
Itakaye tukanwa na Dreva au Condacta kwenye gari akiwa anadai haki zake za msingi
Atakaye tozwa pesa zaidi ya zile zinazo kubalika kisheria katika shirika la Luba Express
na Mengine mengi yanayoweza kujitokeza katika Safari abayo ni ukiukwaji wa Haki za mteja katika Safari
Tafadhari Wasiliana na makao makuu ya Luba Express popote ulipo ili waweze kulitatua hilo tatizo ndani ya mda mfupi.
Address zetu za makao makuu ni:
Tel:+25779334669
+25769062208
+25775399273
E-mail: lubaexpress01@gmail.com
Twittwer: @Expressluba
Facebook: Luba Express S.a
Linkedin: Luba Express
Instagram: Luba_Express
Website: www.lubaexpress.org

Gari la Luba likiwa katika Kituo cha Luba Express Rumonge nchini Burundi