TANGAZO KWA WATEJA WETU

Ndugu wateja wetu tunapenda kuwatangazia kuwa Shirika la Luba Express Limewaletea Huduma nyingine ya Kukodisha FUSO Kwa ajili ya mizigo, Ukitaka kukodi gari hiyo unatakiwa kuingia kwenye menu zetu za Luba Express angalia sehemu iliyoandikwa KODI GARI na utafata maelekezo Asanteni sana na Karibu katika Shirika la Luba Express kwa ajili ya Huduma Bora na ya Kuaminika.

21 views0 comments

Recent Posts

See All