TANGAZO KWA UMMA

Shirika la Usafirishaji wa Abiria na mizigo nchini Burundi, Luba Express linapenda kuwatangazia kuwa Mda wowote kuanzia sasa Litawajulisheni Siku Kamili ya kuanza safari zake za Kutoka nje ya nchi, yaani BURUNDI-TANZANIA


6 views0 comments

Recent Posts

See All