TANGAZO KWA ABIRIA WETU
Tunapenda kuwatangazia Abiria wetu ambao mnanufaika na huduma zetu za usafirishaji wa abiria na mizigo katika Shirika letu la Luba Express. Kuwa tunaendelea kuwaomba radhi wale wote ambao wanakutana na wakati mgumu wa safari na hususani katika safari za nje ya nchi ambazo zimesitishwa na kampuni hii kwa miezi kadhaa kulingana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona. Hivyo Muendelee kutuwea radhi tutaendelea kuwajuza kila itakapo kuwa inahitajika kuhusu Ratiba za safari pale zitakapo kuwa zimeanza. Kwahiyo Kampuni Bora kabisa ya Usafirishaji nchini Burundi Inaendelea kuwashukuru wale wote munao endelea kutuunga mkono kwa hali na mali katika kuhakikisha Shirika la Luba Express linakuwa la kimataifa. TUNA THAMINI SANA MCHANGO WENU, MUNGU AWABARIKI.

Mkurugenzi wa Mawasiliano katika Shirika la Luba Express, IRANKUNDA B. Elikana