TANGAZO
Tunapenda kuwatangazia wateja wote wa Luba Express wanao Safiri au wanao kodi gari kwa ajili ya sherehe tofauti, kuwa kuanzia leo ofisi kuu ya Luba Express chini ya Uongozi mkuu, tumeanza kupokea order za kukodi Magari kwa ajili ya Sherehe tofauti na Kukata tiketi za safari za kutoka Bujumbura mpaka Kigoma. Tunawakalibisha ili munufaike na huduma zetu. Asanteni sana

33 views0 comments