SHEMEZA MUSIC BAND, WASEMA YAO YA MOYONI

Wakati band ya Nyimbo za injili ilipokuwa ikikamilisha Shooting ya Albam yao ambayo Imetengenezwa na Luba Video Shooting, Wamesema kuwa Mchangio wa kila Mdau wa nyimbo za injili ndo unaweza kusababisha Band hiyo changa ambayo imejitoa kumtumikia Mungu kwa njia ya Uimbaji iweze Kusonga mbele, Hayo wameyasema wakati walipokuwa wanafanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mawasiliano wa Luba Express, mara baada ya kuhitimisha zoezi la kushuti albam hiyo.20 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram