Mshauri Mkuu katika Shirika la Luba Express

Mshauri mkuu katika shirika la Luba Express Mh: NDAYISHIMIYE AUDACE, katika mazungumzo yake na Wahusika wa Idara ya mawasiliano Amesema kuwa kitengo cha mawasiliano ni kitengo muhimu sana ambacho kinatakiwa kufanya kazi zake kwa weredi mkubwa na ubunifu wa hari ya juu ili kuwa wezesha wateja wanaonufaika na huduma za Luba Express kupata huduma Bora na za uhakika tena wakati mwafaka popote walipo.

Mshauri Mkuu wa Shirika la Luba Express, Mhe: NDAYISHIMIYE AUDACE

30 views0 comments

Recent Posts

See All