MSHAURI KATIKA LUBA EXPRESS ATOA PENDEKEZO.

Mshauri katika shirika la Luba Express, Mhe: NSHIMIRIMANA Augiste,


ametoa pendekezo la namna mawakala wa Luba Express wanavyotakiwa kufanya Mazoezi ya namna watakavyo kidhi mahitaji ya wateja wetu, kwa kuendana na mfumo mpya wa Luba Express unaozingatia Utendaji kazi wa Sayansi na Teknologia ya HAbari, ambapo wateja wetu wata nufaika na Huduma za Luba Express kiganjani mwao. Hayo ameyasema Leo alipotembelea Ofisi ya Kitengo cha mawasiliano Mkoani Rumonge.24 views0 comments

Recent Posts

See All