Mkurugenzi wa Mawasiliano, Atangaza Njia mpya ya Kufanya maombi ya kazi katika Luba Express

Leo Mkurugenzi wa Mawasiliano Mh: IRANKUNDA Elikana, amesema kuwa kwa wale wanaohitaji kufanya maombi ya kazi katika shirika la Luba Express, kuwa wanaweza kufanya maombi hayo moja kwa moja katika tovuti yetu ya Luba express, Aina za kazi zinazopatikana kwenye shirika hili ni pamoaja na:

  1. Udereva wa Gari kubwa, Ndogo na Roli ya mizigo

  2. Usimamizi wa Gari aina zote

  3. U wakala

  4. Kitengo cha mawasiliano

unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye Tovuti yetu na kuangalia sehemu iliyoandikwa "Omba kazi" Kisha jaza form iliyopo pale na ukimaliza tuma, maombi yako yatakuwa yamefika moja kwa moja kwenye kitengo cha mawasiliano.


20 views0 comments

Recent Posts

See All