MKURUGENZI MKUU WA LUBA EXPRESS ASEMA HAYA......
Mkurugenzi mkuu wa Luba Express Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier Asema kuwa Duka la Luba Fishing Materials Shop litakuwa linasambaza vifaa vya uvuvi popote mteja alipo kwa Garama nafuu kabisa, hayo ameyasema wakati alipokuwa ikionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika suala la uvuvi. Kama unahitaji kutoa order ya vifaa vyako unaweza kuwasiliana na Mkurugenzi wa Luba Express, Luba Fishing Materils Shop, na Luba Video Shooting.



