Mkurugenzi Mkuu wa Luba Express Amewasili kwa mara ya Kwanza katika ofisi za kitengo cha mawasiliano

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Luba Express nchini Burundi Mheshimiwa NDIHOKUBWAYO Shartier Leo Ametembelea kwa mara ya kwanza katika ofisi za kitengo cha Mawasiliano ya Shirika hilo Mkoani Rumonge Lengo ikiwa ni kuangalia namna shughuli zinavyoendeshwa katika kitengo hicho,


Mkurugenzi Mkuu akiwa Anatoka katika Gari lake baada ya kuwasili katika Mkoa wa Rumonge ili kufanya ukaguzi wa Shughuli za kitengo cha mawasiliano

Mkurugenzi Mkuu akiwa ameshuka kwenye Gari lake baada ya kuwasili katika ofisi za Idara ya Mawasiliano Makao makuu ya wizara hiyo.Mkurugenzi mkuu akiwa katika ofisi ya kitengo cha mawasiliano mkoani Rumonge

20 views0 comments

Recent Posts

See All