Mkurugenzi Mkuu wa Luba Express

Mkurugenzi Mkuu wa Luba Express, Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier, Amesema kuwa tatizo la kuhusu safari za Bujumbura-Kigoma nchini Tanzania zilizositishwa toka mwezi wa tatu kulingana na mlipuko wa Ugonjwa wa Covid19, zinaweza zikalejea tena pale ambapo Serkali itakuwa imejibu maombi yaliyo tolewa na shirika hilo ya kuomba Serkali kuruhusu safari za kutoka nje ya nchi na hususani katika mkoa wa KIgoma nchini Tanzania, hayo Ameyazungumza leo katika mazungumzo rasmi aliyo fanya na Mkurugenzi wa Mawasiliano ndugu IRANKUNDA Elikana.


35 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram