Mkurugenzi Mkuu Apongeza Jitihada anazozitumia Mkurugenzi wa mawasiliano

Baada ya Kuwasili katika Kitengo cha mawasiliano ndani ya Luba Express MKurugenzi mkuu Mhe: NDIHOKUBWAYO Shartier, Amepongeza ofisi hiyo ya idara ya mawasiliano kwa jitihada zinazofanywa ili kuona namna wanavyoweza kuendeleza shirika hilo bora kabisa la usafirishaji katika nchi ya Burundi.


15 views