MDA WOWOTE KUANZIA SASA

Ndugu wateja wetu ambao mnatumia Usafiri wa Magari yetu ya Luba Express, tunapenda kuwatangazia kuwa Kuanzia sasa tunaweza kurudisha huduma zetu za kutoka nje ya nchi. na tutawataarifu pindi tu tutakapo pokea uthibitisho kutoka Serkalini. Asanteni sana53 views