MAKAMU MKURUGENZI MKUU WA LUBA EXPRESS ATOA USHAURI

Makamu mkurugenzi mkuu wa LUBA EXPRESS Ametoa Ushauri wake kwa Madreva na makondakta wanao fanya kazi katika Shirika la Luba Express kuwa wanatakiwa kuzingatia na kuheshimu sheria za Shirika hilo ili kudumisha huduma bora na za kuaminika zinazo tolewa katika shirika hilo ikiwa ni pamoja na kuheshimu haki za abiria wanapokuwa katika vyombo vya usafiri vinavyo milikiwa na shirika la Luba Express, pia kuheshimu Sheria na arama za barabarani ili kulinda usarama wa Abiria na mizigo yao. Hayo ameyasema leo alipokuwa anazungumza na Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano.


12 views0 comments

Recent Posts

See All