Madereva Wa Luba Express
Katika KIpindi Maarufu cha Mkurugenzi wa Mawasiliano na Madereva wa Luba Express kuhusu namna ambavyo wanafanya kazi zao na mbinu wanzo zitumia ili kuendelea kulifanya shirika hilo kuwa Bora na la kuaminika katika suala la usafirishaji katika nchini Burundi. Wamesema kuwa Ucheshi wao na Jitihada za Kufanya kazi kwa bidii ndo kitu pekee kinachowafanya waendelee kuaminiwa na Abiria na hivyo kuonekana kuwa ni Madereva bora kabisa katika Idara ya usafirishaji nchini Burundi. Na kuhusu mipaka iliyofungwa kwa ajili ya Janga la Corona wameiomba Serkali kama mzazi wa Taifa hili la Burundi kuangalia namna ya kuboresha vituo vya afya mipakani na hivyo kuruhusu safari za nje ya nchi tena maana zinasaidia watu wengi hapa nchini.

BUKURU Emery na ANZURUNI katika Picha ya Pamoja baada ya kumaliza kufanya Interview