LUBA VIDEO SHOOTING YAANZA KAZI RASMI

Luba Video Shooting yaanza na Kwaya ya SHEMEZA MUSIC BAND, Hii ni Albam ambayo itakuwa Siyo ya Kawaida ambayo itakuwa imetengenezwa na Production ya Luba Video Shooting. Hivyo tunatoa wito kwa vijana ambao wanatamani kuibua vipaji vyao, Jibu ni LUBA VIDEO SHOOTING
15 views0 comments

Recent Posts

See All