LUBA EXPRESS YATOA TANGAZO KWA WOTE WALIO OMBA KAZI KATIKA SHIRIKA HILO.

Uongozi wa Luba Express unapenda kuwatangazia wote walio omba kazi katika Shirika hilo kuwa Mipaka itakapo funguliwa Wote walio omba kazi wata takiwa kufika katika makao makuu ya Shirika hilo MKoani Rumonge kwa ajili ya usaili au Interview


Bango la Shirika la Luba Express Mkoani Rumonge

16 views0 comments

Recent Posts

See All