Luba Express Yashangaza wengi
Shirika la Luba Express Linapenda kuwatangazia watu wote wanafanya sherehe za kila aina, Ikiwemo Harusi, Send off Kitchen Part, Ubatizo, Mazishi, Kufuta matanga na Sherehe nyinginezo kuwa Katika harakati zake za Kutatua changamoto mbali mbali za hapa na pale limeanzisha Mradi wa Kufanya shooting za Video na kutengeneza Video, kwa Gharama nafuu sana. na Pia Shirika linakodisha Camera ya Kufanya Shooting ya Kisasa kabisa na Usafiri utakao kupeleka popote pale kwa Gharama nafuu. Pia shirika linapenda kuwatangazia wale ambao wanahitaji kufanya shooting ya nyimbo zao iwe Choir au Muimbaji Binafsi kuwa Shirika litatoa Ofa kwa punguzo la Aslimia 30 ya Malipo yote ya ku shoot na ku Edit. Karibuni Sana.

