LUBA EXPRESS KUANZA SAFARI ZAKE ZA KIGOMA

Ndugu wateja wa Luba Express tunapenda uwatangazia kuwa kuanzia tarehe 01/08/2020, Luba Express Itaanza Safari zake za kwenda kigoma ambazo zilikuwa zimesitishwa kwa Mda kulingana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona, na ticket za Safari zitanza kukatwa tarehe 31/07/2020. Kwenye Vituo vyote vya Luba Express na Kwenye website yetu kwenye Huduma ya KATA TICKET ambayo itaanza kufanya kazi Tarehe 30/07/2020. Asanteni sana kwa Kuichagua Luba Express kuwa Shirika la Kuaminika katika kitengo cha Usafirishaji. Karibuni Sana na Tunawatakia Safari Njema. LUBA EXPRESS KWA SAFARI YA UHAKIKA NA SARAMA


17 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram