LUBA EXPRESS INAENDELEA NA SAFARI ZA MPAKANI
Usipitwe sasa unaweza kukata tiketi yako mapema sana ya safari kuanzia Mjini Bujumbura mpaka mpani mwa Burundi na Tanzania kwa Gharama ile ile kwa kutumia Simu yako ya Mkononi ni rahisi ingia kwenye menu yetu chagua kata tiketi harafu jaza form ndani ya dakika mbili utakuwa umeshamaliza malipo na kukabidhiwa tiketi yako kwa njia ya Kielectronic yaani kwenye Simu yako ya Mkononi na kupanda gari yoyote ya Luba express bila kusumbuliwa na ukiwa na uhakika wa kupata siti.



