KWA WALE WANAO PENDA KUKODI GARI KWA AJILI YA KUSOMBA VIFAA VYA UJENZI

Tangazo kwa wateja wetu wa Luba Express Munaopenda kutumia huduma yetu ya Kusomba Vifaa vya ujenzi kuwa Kulingana na Kujua mahitaji ya wateja wetu tumeamua kuboresha huduma zetu kwa kuongeza gari lingine litakalo saidia kutosheleza mahitaji ya wateja wetu. Na pia tungependa kuwafahamisha kuwa Pia katika kuwasogezea karibu huduma zetu unaweza kufanya Order ya Gari la kusomba vifaa vya ujenzi moja kwa moja kupitia Website ya Luba Express. ndani ya Dakika tatu bila Usumbufu. tembelea website yetu ya www.lubaexpress.org ubonyeze Sehemu iliyoandikwa Kodi Gari, unufaike na huduma zetu Asanteni sana

Gari la kusomba Vifaa vya Ujenzi likiwa limepaki Stendi baada ya kumaliza shughuli zakeGari mpya la kusomba vifaa vya Ujenzi ambalo limeongezwa kwa Kutosheleza mahitaji ya Wateja wetu.

30 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram