KUJITUMA KWA MADEREVA WETU KWAIFANYA KAMPUNI KUWA YA KIMATAIFA.
Ili kuwezesha kampuni yetu kufika mbali zaidi inahitaji pia kujituma kwa Madereva wetu wa Luba Express ambao wanafanya kila wanalo weza ili kukidhi mahitaji ya Wateja wetu ambao waliichagua kampuni hii kuwa kampuni bora kabisa kwenye Sector ya Usafirishaji hapa nchini Burundi.

53 views0 comments