KITENGO CHA MAWASILIANO CHAKAGULIWA
Mshauri mkuu wa Luba Express Mhe: NSHIMIRIMANA Augustin, leo amekagua shughuli zinazo endeshwa katika idara ya mawasiliano, katika mazungumzo yake na Mkurugenzi mkuu wa Idara ya mawasiliano Amesema kuwa Amefurahishwa na utendaji kazi wa kitengo hicho na kuahidi kuwa atafanya kila analo liweza kuhakikisha shirika hilo linakua la kitechnologia kwa ajili ya kurahisisha huduma za wateja wake.

Mhe: NSHIMIRIMANA Augustin akikagua channel mpya ya Youtube iliyo anzishwa kwa lengo la kutoa Vipindi live vinavyo husiana na Idara ya usafirishaji nchini Burundi.

mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Mawasiliano Luba Express akifafanua Lengo la kuanzisha Channel hiyo.
