JE UNAJUA KAMA UKITANGAZA NA LUBA EXPRESS UNAWEZA KUWAFIKIA WATU ELFU 70 KWA SIKU????
Katika kutatua changamoto za Kutangaza Biashara kwenye Vyombo vya habari Luba Express Imeanzisha mpango wa Luba Advertisement Program, Mpango ambao utakusaidi kutangaza biashara yako kwenye Website ya Luba Express ambayo inatembelewa kwa siku na watu elfu 70, kwahiyo tangazo lako litaweza kuwafikia watu Elfu 70 kwa siku, hii siyo ya kukosa maana gharama ni sawa na bure. kwa maelezo zaidi wasiliana na Luba express ili uweze kunufaika na fursa hiyo.


19 views0 comments