Je, Unajua kama Luba Express Imebolesha Huduma Zake?

Sasa Kile ambacho mulikuwa mkisubili kwa Mda mrefu kimewadia. Shirika la Luba Express sasa Limeboresha huduma zake, unaweza kukata ticketi za safari kwenda na Kurudi nje ya nchi au kukodi Gari kwa ajili ya Events tofauti. kupitia kwenye mtandao. Hii haijawahi kutokea nchini, Kauli mbiu yetu Sisi Pamoja na Technologia tunakusogezea huduma mpaka ndani kwako. ni rahisi ili kujua namna huduma inavyoweza kusogea mpaka kwenye Kiganja chako. Wasiliana nasi kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo. Twitter, Linkedin, Instagram, Youtube, Facebook . ili upate huduma zetu kwa haraka na uhakika.

Office kuu kitengo cha Mawasiliano katika Shirika la Luba Express

13 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram