HII NDO OFICE YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO KATIKA SHIRIKA LA LUBA EXPRESS.

Mkurugenzi wa mawasiliano akiwa anaendelea na shughuli zake katika idara ya mawasiliano.

Ni wakati Mkurugenzi wa mawasiliano ana Hakikisha Order iliyotumwa ya Kukodi Gari ya kusomba vifaa vya ujenzi.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano akiwa katika Pozi ya kupumzika baada ya kuhakikisha kuwa Office ya mawasiliano inaendelea vizuri.
43 views0 comments