HII NDIYO SABABU LUBA EXPRESS NI MABINGWA WA USAFIRISHAJI

Ucheshi, Ukarimu, Pamoja na Heshima ni moja kati ya mambo yanayowafanya Abiria wa Luba Express wafurahie huduma zetu, Katika mazungumzo na abiria waliokuwa wanatoka Mjini Bujumbura kuelekea mpakani mwa Tanzania wamesema kuwa wanafurahisha na Ukarimu wa Madereva pamoja na Makondacta wa Gari za Luba Express maana wanawasaidi pale wanapotatizwa na suala lolote wanapokua Safarini na Hivyo kuwafanya wapende kusafiri na LUba kila Siku.12 views1 comment

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram