GARI YA KUSOMBA VIFAA VYA UJENZI

Tangazo kw wateja wetu, kulingana na sababu za kupanda kwa gharama ya uendeshaji wa shughuli za magari ya kusomba vifaa vya ujenzi, tumependa kuwatangazia wateja wetu kuwa kwa sasa shirika la Luba Express linatoa huduma hiyo ya kukodisha magari ya kusomba vifaa vya ujenzi aina ya TIPA, kwa Gharama ya 280.000FBU, Pesa ya Burundi, hii imetokana na kupanda kwa gharama za uendeshaji wa magari hayo. Tunaomba Radhi kwa usumbufu utakao jitokeza Asanteni sana30 views0 comments

Recent Posts

See All