Je Unatamani Kusomba vifaa vya ujenzi na mambo Mengine?
Updated: Jul 22, 2020
Usijali, Shirika la Luba Express baada ya kugundua kuwa kuna changamoto ya usambazaji wa vifaa vya ujenzi imeamua kukulete Magari Imara na ya Kuaminika ambayo yatakuwezesha kusomba vifaa vyako kwa haraka na sarama. Na huduma hii unaweza kuipata Moja kwa moja popote ulipo kwa Kutembelea website yetu na Kuchagua Huduma zetu. utaweza kupata huduma zetu zote Online. Karibu sana katika Shirika la Luba Express kwa huduma ya Kuaminika

