CODE YA LUMICASH YA KULIPIA HUDUMA ZETU SASA YAANZA KUFANYA KAZI RASMI

Ndugu wateja wetu munao tumia huduma zetu tunapenda kuwa Taarifu kuwa kuanzia leo huduma zote za ki fedha katika Shirika la Usafirishaji wa Abiria na mizigo, zitakuwa zinafanyika moja kwa moja kwenye account ya Lumicash ya Luba Express. kwa Code number 100418, Jina NDIHOKUBWAYO Shalutier, Shirika limeamua kufanya hivo ili kuweza kusogeza huduma hii karibu yako. Na baada ya Malipo utapewa Stakabadhi au Risti inayoonyesha kama umelipia. Luba Express ni Shirika la Kuaminika na la Uhakika.


21 views0 comments

Recent Posts

See All