ABIRIA WA LUBA EXPRESS WASEMA YA MOYONI

Katika mazungumzo tuliyofanya na Abiria wanaotumia usafiri wa Luba Express wamesema kuwa Wanafurahishwa na huduma zinazotolewa na Luba express mbali na kuwa na gari Imara pia wana madereva wazoefu na wenye weredi wa kazi zao. Na hivyo Wameomba Uongozi wa Luba Express kuanzisha Safari za kwenda Mikoa mingine ambayo Company hiyo haijaweka vituo vyao ili kusaidia abiria wanaofurahia huduma za company hiyo kupata huduma sehemu hizo. Na katika Kujibu Swali hilo Mkurugenzi Mkuu wa Luba Express Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier amesema yupo kwenye mchakato na tayari ameshapeleka maombi ya kuanzisha safari za kwenda mikoa hiyo Wizarani na pale ambapo Atapewa Jibu atawafahamisha kupitia Website ya lubaexpress.org na mitandao yetu ya kijamii. Amehitimisha kwa Kuomba Radhi kwa Usumbufu wanao upata wote wanaotoka katika mikoa hiyo kwa kutopata huduma stahiki.

47 views0 comments

Recent Posts

See All

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

  • LinkedIn
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram