KUHUSU LUBA EXPRESS

LUBA EXPRESS, Ni Shirika linalo jihusisha na Usafirishaji wa Abiria pamoja na Mizigo katika nchi ya Burundi na Nje ya Nchi ya Burundi, Inajihusisha na Ukodishaji wa Magari kwa ajili ya sherehe mbali mbali, Inafanya Shooting Kwenye Sherehe Mbali Mbali na hata kwenye Vikundi vya Uimbaji. Pamoja na Uigizaji, kutoa huduma ya kusambaza vifaa vya ujenzi kama, Matofali, Mawe, Mchanga, Mabati, na mambo mengine. Lakini Pia Inatoa Huduma ya Kuuza vifaa vya uvuvi.

Ni Shirika la Kuaminika na la Uhakika

Mission yetu

Kutoa Huduma Nzuri, Katika nchi ya Burundi na nje ya nchi ya Burundi. Kuweka uhusiano mzuri kati ya shirika na Wafadhiri wa ndani na nje ya nchi, Kutoa Huduma ya Uhakika na Sarama

DSC_0106.JPG
DSC_0046.JPG

MAONO YETU

Ni kuinua Sector ya Usafirishaji Duniani, kwa kutoa Huduma yenye Ubunifu wa hali ya juu. na kusaidia wateja wetu wanao nufaika na huduma zetu kupata huduma Nzuri na Za Kisasa ambazo zitawarahisishia katika kufanya Biashara zao.

Unaweza kutu Support