DSC_0106.JPG

Luba Express is a favorite among our customers, which comes as no surprise. No matter the client’s requirements, they handle travel planning quickly and efficiently.

 • LinkedIn
 • Facebook
 • Twitter
 • YouTube
 • Instagram
0
camera-canon-5d-mark-ii-bokeh-shallow-de
LUBA VIDEO SHOOTING

KWA WALE WANAOHITAJI KUTENGENEZA FILAMU ZENYE VIWANGO NA KUFANYA SHOOTING YA NYIMBO ZA VIWANGO AU KUFANYA SHOOTING ZA SHEREHE MBALI MBALI USISITE KUWASILIANA NA LUBA VIDEO SHOOTING ILI KUIFANYA KAZI YAKO KUWA BORA NA YENYE KUVUTIA

 • Black LinkedIn Icon
 • Black Facebook Icon
 • Black Twitter Icon
 • Black Instagram Icon

Luba Express ni Jibu la Changamoto ya Usafiri

Kwa Safari za Ndani na Nje ya Nchi Luba Express ndiyo Jibu Lako

Katika harakati za kutatua changamoto zinazo jitokeza katika sector ya usafirishaji nchini Burundi Luba Express imetengeneza mfumo mpya kabisa na wakisasa unao muwezesha Abiria kupata tiketi yake popote alipo, ni rahisi bonyeza kitufe cha KATA TIKETI kwenye Menu ya Website hii ili kupata mwongozo wa namna utakavyo kata tiketi ya safari popote ulipo kwa gharama ile ile. Hakika hii haijawahi kutokea nchini Burundi, Luba Express "WE BELIEVE WHAT WE DO"

LUBA FISHING MATERIALS

SASA NI ZAMU YA WAVUVI NA WANAO MILIKI VYOMBO VYA KUVUA SAMAKI

LUBA FISHING MATERIALS

Sasa Imerahisisha huduma za vifaa vya Uvuvi sasa hauhitaji kwenda China au Dar es salaam kuchukuwa vifaa maana Sasa Luba Fishing materials imekusogezea huduma karibu fika katika office ya Luba Express na Luba Video Shooting ili kupata Maelezo zaidi au piga simu

Tel: +257 79334669 +257 69062208  +257 75399273

E-mail: lubaexpress01@gmail.com 

IMG_9852.JPG

What We Do

01

TRANSPORTATION

02

VIDEO SHOOTING

03

FISHING MATERIALS SELLERS

04

CONSULTING

luba express

"we believe what we do"

IT'S SIMPLE AND FASTER

You Can call us on +25769062208 for more information or Mailed us on lubaexpress01@gmail.com

IF YOU NEED TO GET VEHICLES FOR EVENT AND TOURISM TRIPS PLEASE BOOKING ON OUR WEBSITE FOR GETING THE DISCOUNT

MAFUTA YA ENGINE

Kwenye Duka la Luba Fishing Materials unaweza kupata Mafuta ya Engine za Mashine na Hata za Gari aina zote kwa Bei nafuu Karibuni Sana

shooting for Events and Films

in order to decrease  The challenges of getting good photos and professional videos we decided to start a new project which will help the people to get the shooting service for their events and films so that Luba Video Shooting it's welcomed you in this project in order to create the opportunity for younths. 

 • YouTube
son1735.jpg

LUBA EXPRESS TRANSPORTATION SERVICE

IN ORDER TO DEVELOP OUR MOTTO: "WE BELIVE WHAT WE DO" luba express has brought you a new system for knowing travel information. car hours arriving at each station with a schedule of domestic and international trips, to enable you our customer to get the best and most reliable services so that you're Most Welcome!!!

 • Black Twitter Icon
DSC_0102.JPG
IMG_9908.JPG

Sector ya Mawasiliano

katika kuinua sector ya mawasiliano kwenye shirika la Luba Express Ubunifu ni moja kati ya nyezo zinazotumika ili kuendana na Kasi ya Maendeleo ya Habari Duniani na Hivyo Tunajitahidi kufanya kila linalowezekana ili Kuweza kupanua wigo wa Mawasiliano katika Shirika la Luba Express

THE

TEAM

 

 

 

 

LUBA EXPRESS 

Contact us: lubaexpress01@gmail.com

Tel:+25769062208/257 79334669 /257 75399273

Copyrights © 2020 Luba express S.a. All Rights Reserved

Designed by Irankunda Elikana@CADGB

IMG_20200828_124445_1598611798769_edited

Mhe: NDIHOKUBWAYO Salutier

CEO of Luba Express/Luba Video Shooting and Luba Fishing Materials Shop

 • LinkedIn
 • Facebook
 • Twitter
 • YouTube
 • Instagram